Uchaguzi wa jinsia, au kutabiri jinsia ya mtoto atakaezaliwa ni
topic yenye mkanganyiko katika kada ya afya hususani uwanja wa matabibu.
Ambapo madaktari na wataalamu wa masuala uzazi, wanawwapinga
wakunga wa zamani kwa mujibu wa wao walivyokuwa wanaamini kuhusiana na hii
jinsi ya kutabiri.
Baadhi ya watafiti walikuja na hoja na baadhi ya mbinu ambazo
zinaongeza uwezekano wa kupata motto wa kiume au wa kike.
Dokta Shettles, alikuja na njia yake inayoitwa SHETTLE METHOD,
ambayo ilifanyiwa ucchinguzi nae LANDRUM SHETTLES mnamo miaka ya 1960 na rekodi
yake kuandikwa katika kitabu kilichoitwa
“HOW TO CHOOSE THE SEX OF YOUR BABY”
Na inakadiriwa kuwa yapata asilimia 75% ya waliojaribu walifanikiwa.
Baadhi ya watafiti wengine walisema kuwa mlo na mkao wakati wa
kufanya tendo la ndoa ndio una athiri
uchaguzi wa jinsia ya motto atakaezaliwa.
Katika makala hii nitaangazia juu ya jinsi ya kuongeza uwezekano
wa kupata mtoto wa kiume
Hivyo, zingatia vidokezo hivo ili kuongeza uwezekano wa kupata
mtoto wa KIUME.
1. ELEWA FALSAFA YA
NJIA YA SHETTLES
Njia hii ina jikita
katika wazo la kuwa Y-chromosomes sperm( jinsia ya kiume) ambazo ni chache,
dhaifu na hutembela/kusafiri kwa haraka kuliko X chromosome sperm (jinsia ya
kike)
2. UTAMBUE MUDA WA YAI
KUPEVUKA/OVULATION
Kulingana na NJIA
YA SHETTLES, unatakiwa kufanya tendo la ndoa KABLA, BAADA ya ovulation kutokea
MASAA MACHACHE OVULATION KUTOKEA. Hii ni kwa lengo la kuongeza uwezekano wa kupata mtoto wa kiume.
KUMBUKA;
· Kuwa na chart ya kuangalia ute toka ukeni, angalia ute kila
siku, kabla ya ovulation, ute unatakiwa kuwa wa kuvutika pale unapoguswa/
elastic na pia watery
· SHETTLES ana shauri kuwa chati yako ya kuangalia ute inabidi ifanyike kwa angalau mwezi mzima ili
kuujua jinsi ute unavyo tofautiana unapokuwa unaelekea kwenye tarehe za ovulation.
· Pia angalia BASAL
BODY TEMPERATURE/ Mabadiliko ya joto lako la Mwili, Chukua vipimo vya joto kila
asubuhi kabla hujatoka kitandani, kipindi upo kwenye ovulation joto la mwili
litapanda sana, hivyo kwa sababu unatakiwa kufanya mapenzi siku za karibu na
ovulation iwezeanavyo ili kuweka mazingira mazuri kwa kupata mtoto wa kiume,
unashauri kujua mwenendo wa joto lako angalau kwa muda wa miezi miwili ili
kujua ni kipindi gani joto linakuwa juuna hivyo kujua ovulation ipo tayari.
·
3. UJUE MUDA WA KUFANYA TENDO LA NDOA ILI KUONGEZA
UWEZEKANO WA KUPATA MTOTO WA KIUME.
Fanya tendo la ndoa
ama mapenzi masaa 24 kabla ya muda wa ovulation kufika na masaa 12 baada ya
ovulation kutokea. Katika muda huu, ute unaoteleza toka katika cervical
utaisaidia mbegu Y(kiume) toka kwa mwanaume ambayo hutembea/husafiri kwa haraka,
lakini dhaifu kwa maaa kwamba hufa mapema na hivyo kuifikia mapema/haraka yai
la kike ambalo ni X, ambalo X yenyewe hutembea mwendo wa pole, lakini lipo
imara kwa kukaa muda mrefu.
4. FANYA TENDO LA
NDOA/MAPENZI KWA MKAO/ STYLE HII HAPA.
Dr Shettles ana
shauri, Uume uingie zaidi katika Uke, Huu ni mkao wowote ambao unaamini kuwa
uume utaingia zaidi katika uke ambapo mbegu za kiume zitamwagwa karibia na
cervix nahivyo kuweza kusafiri kwa urahisi na haraka kwa mbegu Y Kuelekea
kurutubisha Yai la kike kiurahisi. Ndio maana ya mkao wa kimapenzi huo
unahitajika. Mkao unaoshauriwa ni ule wa rear-entry
position kwa Kiswahili unaitwa Mbuzi kagoma almaarufu doggy style
5. MWANAMKE AFIKE
KILELENI/MSHINDO MAPEMA KABLA YA MWANAMME.
MwanamKe
anapofanikiwa kufika kileleni/mshindo wake wakati wa tendo la Ndoa/mapenzi,
mwili wake huzalisha mazingira ambayo ni ALKALINE zaidi katika UKE, ambayo ina
faida kwa mbegu za kiume Y.
BORESHA ULAJI WAKO WA MLO ILI KUONGEZA UWEZEKANO WA KUPATA MTOTO
WA KIUME.
1. ELEWA SABABU ZA
MLO/ CHAKULA KATIKA UCHAGUZI WA JINSIA YA MTOTO.
Moja ya vitu
vinavyopelekea chakula kuwa moja ya sababu katika uchaguzi wa jinsia ni
kwamba chakula na vinywaji vinaweza
kubadilisha PH katika mwili ana katika UKE, ambapo inaweza kuathiri mazingira
ya sperm X au Y
2. ACHA
KUTUMIA/JIHADHARI NA VYAKULA VYENYE ACIDIC KWA WINGI.
Mbegu ya kiume Y
inapendelea zaidi kwenye mazingira ya ALKALINE, na vyakula vyenye ACIDIC
vitabadilisha mazingira ya UKE kuwa na ACIDIC.
3. KULA VYAKULA HIVI
ILI KUONGEZA UWEZEKANO WA KUPATA MTOTO WA KIUME.
Wiki kadhaa/chache
kabla ya zoezi zima kufanyika, kula Nyama Nyekundu kama Nyama ya ng”ombe, mayai,
samaki, maharage, peazi, uyoga, mahindi, ngano, pia mkate. Vyakula hivi
vitajenga mazingira zaidi ya kufanya hali ya ALKALINE pH kuwa katika kiwango
kizuri katika UKE.
4. PIA, KULA KARIBIA
WAKATI WOTE WA SIKU HIZO.
Kutokana na tafiti
zilizofanyika huko chuo cha Oxford na
chuo kikuu cha EXETER Nchini
ENGLAND, zinasema Kiwango Kikubwa cha nishati/energy Inahitajika zaidi na pia
kiwango kikubwa cha Glucose kiwe kikubwa kinahusishwa nacho katika zoezi hili
la kumpata motto wa kiume.
5. INAHIMIZWA MPENZI
WA KIUME KUTUMIA VINYWAJI VYENYE CAFFEIN KABLA YA TENDO LA NDOA/MAPENZI.
Inaaminika kuwa
vinywaji vyenye caffeine husaidia kuifanya mbegu za kiume Y kuwa imara ZAIDI.
6. KUNYWA DAWA YA
KIKOHOZI AINA YA SYRUP MASAA MACHACHE KABLA YA TENDO LA NDOA.
Baadhi ya watafiti,
na wana NADHARIA wa masuala ya uchaguzi wa jinsia wanasema kuwa na kuamini dawa
ya kikohozi yenye/ Iliyo na aina ya GUAIFENESIN, hufanya mazingira kuwa mazuri
wa mbegu Y SPERM, Hivyo angalia dawa hiyo kwa AINA ya Ingredients na hakikisha
kama imeandikwa GUAIFENESIN Kabla hujainywa.
MUHIMU;
Ili kuongeza
uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kiume, wanaume inahimizwa BOXERS zenye material ya pamba zisizombana,
Na sio zile
za kubana sana zenye material ya nailon kwa sababu hizo zinazobana sana
zinaongeza hali ya joto katika maeneo ya kiume hususani kwenye KORODANI na
hivyo inaweza kupelekea uzalishwa hafifu wa mbegu za kiume.
Imeandikwa namanyandahealthy
Related Posts
- Tofauti Kati moyo kukamatwa na Heart Attack08 Oct 20150
kumbukumbu Kutokana: difference between cardiac arrest and heart attack Watu wengi hutumia m...Read more �
- FAHAMU UHUSIANO ULIOPO KATI YA PUNYETO NA TATIZO LA UKOSEFU / UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.14 Aug 20150
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni&nbs...Read more �
- Jinsi mtoto hukua akiwa tumboni19 Dec 20140
Jinzi chembechembe umbile za kijusu cha binadamu zinavyo ongezeka na kufikia trillioni 100 k...Read more �
- ATHARI ZA KUMUINGILIA MWANAMKE KINYUME NA MAUMBILE:(KULAWITI) na WANAUME WANAORUKA UKUTA19 Dec 20140
Katika ukurasa huu napenda ni zungumzie athari 2 kubwa zinazotokana na kufanya mapenzi katika ...Read more �
- tezi dume; adui wa walevi,wavuta sigara,wazee 50+..... soma hapa kuepuka na saratani hii19 Dec 20140
DONDOO Madhara ya dawa Kichefuchefu na kutapika,Upungufu wa damu,...Read more �
- kulala bila nguo INAPUNGUZA uwezekano wa KUPATA UGONJWA WA KISUKARI soma zaidi hapa01 Dec 20140
Utafiti mpya uliotolewa nchini M...Read more �
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
POPULAR POST
-
Uvaaji wa cheni au shanga kiononi kwa wanawake ni aina ya utamaduni ambao umekuwa ukipendwa sana na wanawake hasa wa pwani tangu miong...
-
UKWELI KUHUSU MAJINI Kuhusu majini kuna majini wema na wabaya (a) Majini wema. 1.Majini wema awamuingii mtu na kumlazimisha mambo kwa...
-
Kutombana ni raha Jamani asikwambie mtu haswa ukimpata mwenza anayejua nini anafanya awapo kwenye mazingira hayo... Wengi wetu tu...
-
Katika ukurasa huu napenda ni zungumzie athari 2 kubwa zinazotokana na kufanya mapenzi katika njia ya haja kubwa . Wanaume waliowengi ...
-
MWANAMKE anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka kwake kuanz...
-
MDALASINI NA ASALI Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na magonjwa na m...
-
WAMAWAKE wengi wanatamani kuwa na matumbo madogo, lakini wengi hushindwa kufikia ndoto hiyo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za...
-
Hivyo basi, kama wewe unasumbuliwa na kunenepa ama tumbo kuwa kubwa baada ya kuzaa. Usijali hizi hapa tips. KUMBUKA: be patient w...
-
Uchaguzi wa jinsia, au kutabiri jinsia ya mtoto atakaezaliwa ni topic yenye mkanganyiko katika kada ya afya hususani uwanja wa mat...
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.