MDALASINI NA ASALI
Asali
inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika
kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee. Sasa hivi, utafiti
mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kama
itachanganywa na mdalasini wa kawaida.
Uchunguzi
wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa
madawa yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe,
imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za umuhimu wa asali na mdalasini
pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua iletayo afya bora.
Kama ifuatayo:
1. Ugonjwa wa Viungo/Maumivu na Uvimbe {ARTHRITIS}.
Wataalamu
wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja
ya asali pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha
chai} chenye mdalasini - na kuchua sehemu zilizoathirika. Nafuu
hupatikana katika muda wa dakika moja.
Vinginevyo
tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula
-viwili vya asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na
jioni ili kuondoa maumivu.
Katika tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen, madaktari waliwapa wagonjwa 200, {syrup}
mchanganyiko wa kijiko kimoja *cha chai* cha asali na kimoja cha
mdalasini kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa. Asilimia 73% yao
waliripoti nafuu kubwa ya maumivu yao na ongezeko katika kufanya
shughuli kama kujongea na kutembea vyema.
2. kukatika kwa nywele {HAIR LOSS}
Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya olive,
hutoa kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa
ya Dork. Mchanganyiko huo vuguvugu unapakwa kwa kusugua kichwani na
kuachwa kwa dakika 15.
3. Ukungu wa miguuni {FUNGUS}
Changanya kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya
mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemu zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu
saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako itakwisha kwenye
kipindi cha wiki moja.
4. Maambukizo kwenye kihofu cha mkojo {BLADDER INFECTION}
Bilauri ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili {vya chai}
vya mdalasini na kijiko kimoja {cha chai} cha asali huondoa bacteria
kwenye kibofu. Unaweza ukatumia juisi ya cranberry badala ya maji ikiwa
ambukizo la kibofu linakuwa sugu.
5. Maumivu ya jino {TOOTHACHE}.
Changanya sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino.
Dondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka.
6. Vidonda vitokanavyo kwa mgonjwa kulala kwa muda mrefu {CANKER
SORES}.
Saladi ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwenye chai ya raspberry
nyekundu ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu makali ya canker sores.
7. Helemu {CHOLESTERAL}
Kipimo cha helemu cha watu waliokuwa na afya nzuri {katika jaribio} kilishuka kwa wastani wa asilimia 10 katika muda pungufu ya masaa mawili baada ya kunywa bilauri moja {ounce 16} yenye
vijiko viwili vikubwa vya mdalasini iliyochanganywa na chai ya moto.
Kinywaji hiki kutwa mara tatu kilifanya kazi nzuri ya kushusha kiwango
cha helemu mwilini.
Madhara
yaletwayo na vyakula vyenye mafuta yanaweza kudhbitiwa kwa matumizi ya
mara kwa mara ya chai hii pamoja na chakula chako. Hii imeripotiwa na
mtafiti maarufu Dr Alexander Andreyed na Eric Vogelmann.
Ugunduzi
wao uliyakinishwa kwenye jarida mashuhuri la kitiba la Denmark July
1994. vilevile/ aidha uchunguzi mwingine ulibayanishwa kutoa matumizi ya
kila siku ya asali safi hupunguza viwango vya helemu.
8. Mafua {COLDS}
Mafua yameshaeleweka ya kwamba hupotea/huondoka baada ya masaa machache baada ya waathirika kutumia kijiko kimoja {cha mezani} cha
asali vuguvugu iliyochanganywa na robo kijiko{cha chai} cha mdalasini,
mchanganyiko huu ni mahususi katika kusaidia kuondoa chafya na kuvimba
koo.
9. Ugumba {INFERTILITY}
Asali inaaminika kuamsha nyege na wapenzi wa jinsia zote mbili wanashauriwa kunywa anglao vijiko viwili {vya mezani} kila siku kabla ya muda wa kulala {usiku}.
Mdalasini
umetumika kwa muda mrefu kwenye dawa za kihindi na kichina ili kuongeza
uwezo wa uzazi kwa kina mama wenye kuhitaji kuzaa.
Kiungo hiki {mdalasini} huchanganywa na kiasi cha asali na kufanya mgando {paste} ambao hupakwa kwenye fizi za meno na kunyonywa na kuingia mwilini taratibu.
Familia
moja iliyokuwa haina watoto iltumia mgando huu kwa mafanikio na kupata
mapacha wa kike baada ya kushindwa kwa muda wa miaka 14 kupata mtoto.
Walikuwa wameshakata tamaa ya kupata mtoto hadi waliposikia kuhusu
mchanganyiko huu wa asali na mdalasini.
10.Mchafuko wa tumbo {UPSET STOMACH}
Asali imetambuliwa kwa kipindi kirefu kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko
wa tumbo pamoja na kichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na
hii tiba ya kimaajabu vilevile itapunguza maumivu yaletwayo na vidonda
vya tumbo.
ll.Esidi/Gesi-Co2. Hco3. Hcl.
Kula
asali pamoja na mdalasini huweza kuondoa mchafuko wa tumbo na utumbo
uletwao na gesi kwa mujibu wa uchunguzi mahsusi iliofanywa huko India na Japan.
12.Ugonjwa wa Moyo {HEART DISEASE}
Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao
wa mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa
mara-kwa kupakaa wakati wa kifiingua kinywa.
Kula
asali ya mkate wa ngano yenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa kijiko
kimoja {cha mezani} cha mchanganyiko huo hapo juu kila siku. Tiba hii ya
maajabu iliweza kupunguza kuganda kwa mishipa ya damu kwa 74% ya
wagonjwa waliokuwa katika nyumba za kutunzia wagonjwa - utafiti mmoja
ulionyesha.
13. Shinikizo la damu {HIGH BLOOD PRESSURE}
Shinikizo la damu pamoja na matatizo yaambatanayo ya maumivu ya kifua na
kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada
ya watafiti wa kitaliano kuwapa dozi za mara kwa mara za asali
ilyochanganywa na mdalasini. Vipimo vya shinikizo la damu vilionyesha
ukawaida na wote 137 waliofanyiwa jaribio hilo waliripoti kujisikia vyema/vizuri baada ya wiki chache za tiba hii ya ajabu.
14.Kinga ya mwili {IMMUNE SYSTEM}
Kinga yako ya mwili itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara asali na mdalasini kwa pamoja - wataalamu wanasema.
Utafiti
wa kitiba unaonyesha kwamba hazina kubwa ya vitamini{vivurutubisho} na
madini pamoja na michanganyiko mingine iondoayo magonjwa pamoja na kinga
itolewayo na chembechembe nyeupe za damu, husaidia kuzuia magonjwa
pamoja na kuharibu vimelea {virus} na {bacteria}.
15.Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}
Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.
Kutokana
na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa
makasisi katika baadhi ya dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana,
watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo wa kupeleka
mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa
na dunia ya kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao
za nje ya uume ili kuongeza stamina zao za kufanya mapenzi.
16.Kutokuchaguliwa kwa chakula {INDIGESTION}
Vijiko viwili vya asali iliyonyunyiziwa mdalasini kabla ya mlo{kula
chakula} huondoa kiungulia na wataalamu wanasema kwamba asali husaidia
kutolewa kwa juisi zinazotumika kuchaguliwa kwa vyakula tumboni na
mdalasini unaongeza spidi ya kuchaguliwa kwa vyakula.
17.Flu {INFLTJENZA}
Tafiti moja ya kihispania imethibitisha kwamba aina ya dawa moja asilia ya ajabu ambayo huharibu vairasi {vimelea} waletayo Flu.
18.Umri wa kuishi {LONGERVITY}
Unaweza kuishi kufikia hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na
madhubuti kwa kunywa kila siku kikombe baridi cha chai ya mdalasini na
asali. Kutengeneza kinywaji hiki kitamu, weka vijiko vine{vikubwa} vya
mdalasini katika vikombe vitatu vya maji na koroga kwa dakika 10. kunywa
robo kikombe kutwa mara tatu au nne na hivyo utakuwa na kinywaji kingi.
19.Chunusi {PIMPLES}
Changanya vijiko vitatu vya asali pamoja na kijiko kimoja cha mdalasini na pakaa kwenye chunusi.
Uwezo wa asali wa kuua bacteria utaufanya uso wako kuwa kawaida katika muda wa wiki mbili.
20.Kuumwa na wadudu {kwa washawasha}
wenye
sumu Pakaa asali na mdalasini moja kwa moja kwenye sehemu
zilizoathirika na rudia wakati mwasho unapokuathiri. Rudia tena hadi
viuvimbe vinatoweka.
21.Madhara ya ngozi {INFECTIONS}
Fanya kama ilivyoelekezwa hapo juu. Rudia kufanya hivyo hadi hali itakapokwisha.
Wawezakufurahia vyakula vyote unavyopenda, kuwa na afya nzuri na
kupunguza uzito wa mwili ambao hauhitajiki kwa kula chakula chenye nguvu
na ladha nzuri, kilichojaa vitu viwili muhimu vya asili ambavyo ni
asali na mdalasini.unachohitajika kufanya ni kuhakikisha unavitumia
vyote kwa kiasi katika mapishi yako. Vilevile, wataalamu wanasema
unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyamanyama nje ya mwili kwa kuanza
siku yako kwa kutumia vijiko viwili vya asali iliyochanganywa na kijiko
kimoja cha mdalasini ndani ya bilauri ya maji vuguvugu. Rudia
mchanganyiko huu kabla ya kulala.
Wakati
wa kipindi cha baridi kinapokaribia, ambacho kinaambatana na mazoezi
machache, kuongeza hivi vitu viwili vya asili katika chakula ni muafaka.
Pia kinywaji hiki vuguvugu kimeshahakikishwa na wataalamu wa lishe
kwamba hupunguza hamu ya kula pamoja na kuleta joto mwilini.
23.Saratani {CANCER}
Utafiti uliomalizika karibuni huko Australia na Japan, umeonyesha kuwa asali ina uwezo mkubwa katika tiba ya mgonjwa anayetumia madawa ya kutibu saratani.
Katika
tafiti iliyofanywa kwa wagonjwa waliokuwa wanaugua kwa kiwango kikubwa
saratani ya mifupa na tumbo, wale waliokuwa wakitumia kila siku dozi za
asali na mdalasini, walionyesha maradufu kupata nafuu kuliko wale
waliokuwa wakitumia wakitumia madawa ya sarakani pekee. "Tuliwapa kijiko
cha mdalasini na asali kutwa mara tatu kwa mwezi".anasema Dr Hiroki
Owatta. "Wengine waliendelea na milo ya kawaida".
24.Uchovu {FATIGUE}
Upo ushahidi mpya kwamba sukari asilia zilizopo kwenye asali zina uwezo
wa kuongeza nishati mwilini. Zikitumika ipasavyo, sukari hizi zinaweza
kuwasaidia wazee na wengine wanaosumbuliwa na uchovu, wataalamu
wanapendekeza kuchauganya nusu kijiko cha asali katika nusu bilauri ya
maji, nyunyizia mdalasini na kunywa masaa mawili baada ya kuamka
asubuhi. "Kunywa tena saa 9 alasiri wakati nishati {nguvu}inapoanza
kushuka" anashauri Dr Milton Abbozza ambaye kazi zake kuhusu asali na
mdalasini kama kichocheo cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa.
"katika wiki moja hii itajionyesha".
25.Kuvimba Nyayo {SORE FEET}
Chua asali na mdalasini vuguvugu katika {miguu} nyayo
zilizoathirika baada ya siku ndefu na kazi au baada ya mazoezi marefu.
Rudia kila asubuhi halafu nawisha nyayo kwenye maji baridi na vaa viatu.
26.Harufu mbaya kutoka mdomoni
Waamerica wa kusini wanasukutua kwa kutumia asali na mdalasini pamoja na
vuguvugu kila asubuhi ili kufanya harufu toka mdomoni kuwa nzuri na
safi kiasilia. Katika Asia ya kusini mashariki, watu hula kijiko cha
mdalasini na asali ili kuondoa harufu mbaya mdomoni {halitosis}.
Wataalamu wanaamini kwamba uwezo wa kuua bacteria uliopo kwenye asali
ndiyo unaopigana na harufu mbaya itokayo mdomoni.
27.Kupungua kwa usikivu {HEARING LOSS}
Dozi za kila siku za asali na mdalasini hufanya hali ya usikivu kuwa makini kama ilivyogunduliwa na Wagiriki wa zamani.
Post a Comment