Hivyo basi, kama wewe unasumbuliwa na kunenepa ama tumbo kuwa kubwa baada ya kuzaa. Usijali hizi hapa tips. KUMBUKA: be patient with your self ---ilichu MIEZI 9 kufanya Tumbo liwe kubwa hivyo itachukua muda kulirudisha chini and yes, it takes time, lakini kuwa na bidii na discipline, na mafanikio utayaona.

TIP #1. KATA KUNYWA SODA NA BIA


SODA

BIA

TIP #2. FANYA MAZOEZI AT LEAST DAKIKA 60 MARA TATU KWA WIKI - CARDIO, KUKIMBIA/KUTEMBEA HARAKA HARAKA, CYCLING/BAISKELI NA SEAT UPS.





TIP #3. KULA CHAKULA BORA KISICHO NA MAFUTA MENGI, ZINGATIA MORE PROTEIN,  AND LOWER CARB FOODS ---kwa muda acha NYAMA CHOMA/MISHKAKI NA CHIPS MAYAI.





TIP #4. KUNYWA MAJI MENGI




UKITAKA MATOKEO YA HARAKA HARAKA JARIBU;

TIP #5. BELLY WRAP


18 Apr 2014

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

POPULAR POST

 
Top