''Mama wa Marehemu Sharo''

BAADHI ya wasanii tayari wameshafi Tanga tayari kwa ajili ya kukutana katika siku ya kumbukumbu ya Marehemu Hussein Mkyeti huko lusanga, Wasanii watalala huko Lusanga leo kuamkia kesho na mda sio mrefu mama wa marehemu amezungumzia kuhusiana na
kinachoendelea huko Nyumbani kijijini Lusanga mkoani Tanga,Alisema amepokea simu nyingi kutoka kwa baadhi ya wasanii ambao wamedai wapo njiani kutoka Dar kwenda Tanga website hii inawatakia Safari njema, 

Post a Comment

POPULAR POST

 
Top