Katika ukurasa huu napenda ni
zungumzie athari 2 kubwa zinazotokana na kufanya
mapenzi katika njia ya haja
kubwa . Wanaume
waliowengi hivi sasa
wamekuwa wakitamani
kuwaingilia wapenzi wao kinyume na maumbile kwa
lengo la kutaka kujiridhisha
wao
pasipo kujua athari zake na
katika hili athari hazimpati
mwanaume tu bali hata kwa mwanamke ila mwanaume
ndio
kishawishi kikubwa kwa
mpenzi wake. Tuangalie
Athari
zake: Athari ya kwanz
a: KUZIBA
KWA NJIA YA KUPITISHIA
MKOJO

kumuingilia mwanamke
kinyume na maumbile kwa
upande wa wanaume kunaweza kusababisha kuziba
mrija uliopo kwenye uume
unaopitisha mkojo, kwani
pindi
unapokuwa na mpenzi wako
unatumia sehemu hii ya haja kubwa  kuna chembe
chembe
za haja kubwa/mavi
zinakuwa
zinapita kwenye lile tundu la
kutolea mkojo, na endapo utakuwa unaendelea kutumia
sehemu hii utajikuta zile
chembe chembe zinajaa
kwenye
mrija hivyo itafikia kipindi
mkojo utakuwa unashindwa kupita kwenye njia yake
mpaka
uende hospital wafanye
upasuaji waweze kusafisha
njia.
Hii ndio athari ya kwanza. Athari ya Pili: MKUNDU

KUPANUKA NA
KUSABABISHA
KUTOKWA NA HAJA KUBWA
PINDI MWANAMKE
ANAPOTAKA KUZAA
Athari hii hutokea kwa
mwanamke ambae amezoea
kuingiliwa kinyume na
maumbile tatizo hutokea pindi
anapotaka kuzaa, mwanamke anaeingiliwa kinyume na
maumbile kwa muda mrefu ile
sehemu yake ya haja kubwa
hutanuka na kupelekea
mishipa
iliyozunguka sehemu ile kuregea hivyo inapotokea
anahitaji kujifungua/kuzaa
inabidi atumie nguvu nyingi
katika kumsukuma mtoto ili
aweze kutoka ila kutokana na
mishipa ya ile sehemu yake ya haja kubwa imeregea itakosa
nguvu ya kuziba eneo lile
hivyo
kipindi anajikema kumtoa
mtoto ni rahisi mavi kutoka
kwani njia itakuwa imetanuka
na mishipa haifanyi kazi.
Mpenzi msomaji hizo ndizo
athari kubwa za kumuingilia
mwanamke kinyume na
maumbile pia mbali na athari hizi tutambue kuwa njia hii si
halali hata dini zetu pia
haziruhusu, hivyo tuwe
makini
juu ya hili kweli kuna raha
sikatai ila fahamu raha ya dakika chache inaweza
ikakufanya ujute
baadae.

MADHARA KWA WANAUME WANAORUKA UKUTA



Leo tunageuza shilingi upande wa pili kuelezea madhara ya kuruka ukuta (kufanya ngono kinyume cha maumbile), baada ya kuona madhara ya wanawake kurukwa  na nini kifanyike.

Mchezo huu unatumika sana katika mapenzi ya sasa, watoto wa mjini wana usemi wao kwa kitu kilichovuma kuwa ‘ndiyo habari ya mjini’.

Mchezo huu umekuwa ukipendwa sana na wanaume wengi ambao wengi wao huwa hawatumii kinga na kusababisha wengi kupata magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).

Lakini mchezo wa kuruka ukuta umekuwa na madhara makubwa sana kwa wanaume wanaoufanya kwa muda mrefu.

Tulipoangalia upande wa wanawake, tuliona sehemu kubwa ya wanaopenda mchezo huu ni wanaume ambao wengine wamebatizwa majina ya ‘basha’, wakimaanisha mwanaume mpenda kuruka ukuta bila kuangalia ni wa mwanaume mwenzake au wa mwanamke.

Kwa vile nia ya kona hii ni kuelimisha madhara ya mtu kupenda kuruka ukuta ili aache mara moja, tunaendelea kutoa elimu ya bure ili mtu yakimkuta ajue yamempata kwa kiburi chake na kwa kupenda starehe ya kipuuzi.

Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo ni kama ifuatavyo:

Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.

Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.

Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).

Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.

Tano: Kuharisha.

Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).

Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.
Nina imani ndugu yangu umeona madhara mabaya sana ya tabia hiyo mbaya. Inawezekana umezoea mchezo huo wa kuwaingilia wenzako na kuona raha lakini tumeona madhara yake, ambayo kwa hakika kama wewe ni mmoja wao, unatakiwa kuacha mara moja kwa vile mwisho wake ni majuto na mateso.
Jiepushe kuiga mambo bila kujua faida na hasara zake pia usimtie mwenzako majaribuni kwa kumlazimisha kuingia kwenye mchezo huo. Wanawake wengi wamekuwa wakilazimishwa na wanaume kuingiliwa kinyume na maumbile kwa kuwatishia kuwaacha kama watakataa. Swali linakuja, kipi bora, kuharibiwa au kuachana?
Kumbuka baada ya kuharibikiwa, thamani yako hushuka na sifa yako ikiwafikia waharibifu wa watu, basi unageuzwa jamvi la mtaa na hatimaye unakufa kwa msongo wa mawazo au mateso ya ugonjwa utakaupata baada ya kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile.
Unaweza kushangaa baada ya kuelezea madhara yanayowapata wanaume nimehamia kwa wanawake. Ukweli mchezo huu umewaathiri sana wanawake ambao wengi wanaujutia. Kila mwenye tatizo aende kwenye hospitali yoyote kubwa iliyo karibu  kwa msaada zaidi.
Nina imani madhara kwa wanaume yamesomeka vizuri. Tiba ya kwanza ni kuachana na mchezo huo kisha unaweza kufanya taratibu zingine za kucheki afya yako.

Post a Comment

POPULAR POST

 
Top