ONA wasanini hawa Psquare wazidi kujijengea jina ndani ya TANZANIA. JE ni wasanii gani waliowahi kuja tz na kufanya show kisha kufanya zihara kwenye vituo vya watoto. hii ni dhahiri kwamba wasanii hawa toka Nigeria ni kioo cha JAMII............sio NIGERIA tu bali....... AFRICA nzima

je? wasanii wetu wa tz mmejifunza nini? haswa ukijiuliza hawa wajamaa wamekuja kwa ajiri ya show tu au kuja kutuambia nn kingine:----hili tujiulize sana" maisha ni jamii"  au  "jamii ni maisha":
tizama picha hizi walivyotembelea watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo 

 


Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Yesaya Mwakifulefule wakipeana mikono na wasanii kutoka nchini Nigeria maarufu kwa jina la P Square (Peter na Paul Okoye), wakati walipotembelea kituo cha watoto wenye ulemavu wa Utindio wa Ubongo cha Msimbazi Mseto jijini Dar es Salaam, ambapo wasanii hao walitoa msaada kwa watoto hao wenye ulemavu huku ikiwa ni njia moja ya kushiriki kazi ya kijamii.




mungu saidia wasanii wa bongo nao wajue maisha yao ya muziki sio wao na familia zao bali  wapatapo mafanikio wakumbuke kuwa kunawanao hitaji kupata msaada sio kuimba tu na kusahau kuwasaidia watoto wenye matatizo. ....;;

Post a Comment

POPULAR POST

 
Top