Glasi ya maji ya moto. |
Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya magonjwa yanayo weza kutibiwa kwa maji ya moto.
- pumu= asthma
- shinikizo la damu= hbp
- migraine / kichwa= migraine/ headache
- ugonjwa wa sukari= diabetes
- upungufu wa damu= anemia
- maumivu nyuma= back pain
- mawe katika figo= urinary calculus
- maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection
- cholesterol= cholesterol
- baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis
- kiharusi =stroke
- udhaifu wa mwili =sexual and body weakness
- kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue
- tonsili =tonsillitis
- vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)
- mafua/homa =colds, flu & fever
- kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep)
- kichome kwenye roho= heartburn
- kidonda tumboni =stomach ulcer
- kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation
- kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism
- kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)
- magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)
- kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain)
- maradhi ya moyo =heart disease
- saratani= cancer
- usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period
MATUMIZI:
Kunywa angalau glasi moja ya maji ya moto mara mbili kwa siku, asubuhi kabla ya kula chochote na usiku, kabla ya kulala
CHANZO : Tafiti za taasisi mbalimbali za tiba asilia.
Post a Comment