Picha zinazoonyesha Michoro ya Ukumbi,Ofisi za Makao makuu na Hotel ya nyota tano.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein alipowasili eneo la Makulu kwenye sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za makao makuu, Ukumbi wa
Mikutano na Hotel ya Hadhi ya nyota tano katika eneo hilo lililotengwa kwa ajiri ya uboreshwaji wa majengo hayo.
Post a Comment