MTOTO ALIEPATA KIPIGO TOKA KWA HOUSE GIRL akiwa na afya njema ALIYEMBEBA ni mama mzazi
baba na mama na mtoto wasikiliza kwa umakini nini hatima ya kesi yao

IGP Kale Kayihura na Godfrey Musana pamoja kamanda wa upelelezi na Andrew Felix Kawesi wakiangalia maendeleo ya binti katika daftari

IGP Kale Kyihura na BABA Eric Kamanzi NA Mwanae Arnella Kamanzi.aliyebebwa ndio binti aliyepata matatizo kutoka kwa house girl
Post a Comment