Aliekuwa waziri mkuu wa zamani wa
jamhuri ya muungano wa tanzania ana mpango mzuri juu ya upatikanaji wa
ajira kwa vijana hasa madereva wa Bodaboda
KUPITIA AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK AMEANDIKA HIKI
Wakati
wa uzinduzi wa Shirikisho la Bodaboda Tanzania niligundua kwamba
asilimia 50 ya madereva wanaoendesha bodaboda hizo siyo pikipiki zao.
Kutokana na hilo tarehe 15 mwezi Januari 2014 nitakutana na uongozi wa
Shirikisho hilo kuamua lini na wapi nitaongoza harambee itakayowezesha
kila mmoja aweze kumiliki pikipiki yake ili waweze kujiajiri wenyewe.
Post a Comment