Tamasha la filamu la Nchi za Jahazi – ZIFF linatangaza kuwa tarehe za kufunga kupokea filamu zitazoshindana katika kinyanganyiro cha ZIFF2014 ni tarehe 31 January, 2014, hii ikiwemo pia filamu za Kiswahili (Bongo Movies)
Mashindano yamo katika nyanja tofauti pamoja na:
  1. Filamu Bora ya Tamasha (Golden Dhow)
  2. Filamu ya pili kwa ubora (Silver Dhow)
  3. Documentary Bora (Golden Dhow)
  4. Documentary ya Pili kwa ubora (Silver Dhow)
  5. Filamu Fupi Bora (East Africa Talent Award)
  6. SIGNIS Award (Best documentary)
  7. Verona Award (Best African Feature film)
  8. Sembene Ousmane Award (Best Development film $5000)
ZUKU Awards
  1. Best Swahili Film (Tsh 1 mil)
  2. Best Swahili Film Actor (Tsh 500,000)
  3. Best Swahili Film Actress(Tsh 500,000)
  4. Best Camera
  5. Best Sound
Haya shime tujitowe kimasomaso mwaka huu watanzania turudishe heshima yetu afrika mashariki. Tanzania ilikuwa nchi ya kwanza kuwa na filamu iliyoshinda kimataifa: FESPACO  – Arusi ya Mariamu, 1985- (Tuzo 12 kimataifa) Ikashinda tena FESPACO – Mama Tumaini (1987) Tuzo ya Unicef) Kenya na Uganda wakati huo bado wamelala!!
ZIFF 2014 -Tarehe 14-22 June- ZANZIBAR.
 
Tembelea www.ziff.or.tz kwa maelezo zaidi.

Post a Comment

POPULAR POST

 
Top