Kujichua au kujichezea(kupiga puri au
punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila
wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa
wanajisaidia…….
Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa
kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi
unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu
zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo
karibu.
Leo tutaongelea Hasara na faida za kujichua au kujichezea kwa mwanamke.
HASARA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUJICHUA
Kujichua kwa mwanamke kiasili hakuna
madhara yeyote, lakini kama unatumia au unajingizia vitu au vifaa Ukeni
(Sanamu) zinaweza kukusababishia maaambukizo, "kutifua" misuli ya uke na
kusababisha uke wako kulegea, nyama kujitokeza kwa nje.
Ukizoea kutumia Sanamu kujichua
utashindwa kusikia utamu kila utakapofanya ngono na mwanaume kwa vile
sanamu ni ngumu japokuwa watu watakudanganya kuwa ziko na texture kama
uume asilia lakini sio kweli, Mungu aliumba uume kwa ajili ya kuingia
ukeni na sio sanamu.
Mazoea hayo yatakufanya kihisia
udhani kuwa mwanaume hana uwezo wa kukuridhisha kingono na hivyo
kumuomba akufanye kwa kutumia sanamu badala ya uume wake kitu ambacho
nitakiita "madhara ya kujichua kwa kutumia sanamu".
FAIDA ZA KUJICHUA:
1)Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
2)Kujua "vipele vyako viliko".
3)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
4)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.
Post a Comment