Sio siri kwamba wengi wetu wanapafahamu kijiji cha makumbusho kilichopo kijitonyama, Dar es Salaam, lakini si wengi waliopata kutembelea na kujionea nyumba za asili za makabila mbalimbali zilizojengwa hapo na makumbusho ya taifa katika kuelimisha umma. Hapo chini ni baadhi tu ya nyumba za makabila mbalimbali zilizopo hapo na si vibaya iwapo utapata fursa kutembelea kijiji hicho kujikumbusha wapi tunatoka kabla ya kufikia kukaa kwenye nyumba za kileo.



Nyumba ya Wazaramo
Nyumba ya Wanyakyusa
Nyumba ya Wakerewe na Wadoe
Nyumba ya Wahehe
Nyumba ya Wahaya
Nyumba ya Waha
Nyumba ya Wagogo
Nyumba ya Wachaga
Boma la Wamasai

Post a Comment

POPULAR POST

 
Top