Kipanda
uso (Migraine) ni ugonjwa au maumivu makali ya kichwa anayokuwa nayo
mtu baada ya mshipa wa damu (Enlargement of Artery ) kutanuka katika
kichwa chake. Baada ya kutanuka kwa mishipa hii ya damu, pia kuna
kemikali ndani ya mwili zinazozalishwa na kuizunguka mishipa hii na
kupelekea mtu apate maumivu makali ya kichwa na kutanuka zaidi kwa
mishipa.
Maumivu
makali ya kichwa hupelekea mfumo wa utendaji kazi wa mwili pia
ubadilike, mtu atapatwa na kichefuchefu, kutapika, kuharisha, katika
utumbo chakula hakitanyonywa vizuri kiingie mwilini, mtu atashindwa
kuona vizuri maeneo yenye mwanga na kutopenda kukaa mazingira yenye
sauti au kelele.
Vipo
vitu mbalimbali vinavyoweza kuchangia mtu apate tatizo la kipanda uso,
vitu hivi haimaanishi kuwa ni lazima vikusababishe upate na hata kama
haupo katika mazingira ya vitu hivi haimaanishi kuwa huwezi kupata
tatizo la kipanda uso, miongoni mwa vitu hivyo ni kama vile: sauti kali
au kelele, harufu kali, aleji, mwanga mkali, kuvuta sigara, matatizo ya
kukosa usingizi, kukaa bila kula kwa muda mrefu, pombe, kubadilika
badilika kwa siku za mwanamke (menstrual cycle fluctuations).
Inawezekana
ukawa na tatizo hili la kipanda uso, miongoni mwa vitu vinavyowasaidia
watu wenye kipanda uso ni kutumia dawa mbalimbali ukijumuisha dawa za
maumivu zenye mchanganyiko na caffeine, pia utumiaji wa chai au kahawa umesaidia baadhi ya watu kuwapa nafuu ya maumivu makali ya kichwa.
Tunaweza
kupunguza hatari (risk) ya kupata kipanda uso kwa kubadilisha staili ya
maisha yetu ya kila siku, kuepuka vitu vyenye harufu kali, kuepuka
utumiaji wa tumbaku (sigara), kupata muda wa kutosha kuupumzisha mwili
(kulala), kufanya mazoezi, kutokaa bila kula kwa muda mrefu, kunywa maji
ya kutosha.
Je, unalo tatizo la kipanda uso (Migraine), dalili zako ni zipi na ni vitu gani ukitumia unapata nafuu ?.
Related Posts
- Umuhimu wa mazoezi kwa mwanamke mjamzito: Sehemu Ya Nne - Mazoezi maalumu kwa wamama wajawazito09 Dec 20150
Haya Wapenzi leo tutamalizia sehemu ya nne na ya mwisho ya mazoezi yapaswayo kufanywa na wam...Read more �
- Umuhimu wa mazoezi kwa mwanamke mjamzito: Sehemu Ya Tatu - Mazoezi maalumu kwa wamama wajawazito09 Dec 20150
Mama mjamzito anabidi awe anauwezo wa kusikiliza yale yanayoendela katika mwili wake ...Read more �
- VYAKULA MUHIMU KWA WAJAWAZITO09 Dec 20150
VYAKULA MUHIMU KWA WAJAWAZITO kumbuka kwamba vyakula vyote vinaweza kuwa ni muhimu mwilini lak...Read more �
- Tofauti Kati moyo kukamatwa na Heart Attack08 Oct 20150
kumbukumbu Kutokana: difference between cardiac arrest and heart attack Watu wengi hutumia m...Read more �
- zijue DALILI ZA MAGONJWA YA NGONO NA KUEPUKA NAYOO........25 Aug 20150
MAGONJWA YA NGONO Mfumo wa uzazi unaweza kuathiria na mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na ma...Read more �
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
POPULAR POST
-
Uvaaji wa cheni au shanga kiononi kwa wanawake ni aina ya utamaduni ambao umekuwa ukipendwa sana na wanawake hasa wa pwani tangu miong...
-
UKWELI KUHUSU MAJINI Kuhusu majini kuna majini wema na wabaya (a) Majini wema. 1.Majini wema awamuingii mtu na kumlazimisha mambo kwa...
-
Kutombana ni raha Jamani asikwambie mtu haswa ukimpata mwenza anayejua nini anafanya awapo kwenye mazingira hayo... Wengi wetu tu...
-
Katika ukurasa huu napenda ni zungumzie athari 2 kubwa zinazotokana na kufanya mapenzi katika njia ya haja kubwa . Wanaume waliowengi ...
-
MWANAMKE anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka kwake kuanz...
-
WAMAWAKE wengi wanatamani kuwa na matumbo madogo, lakini wengi hushindwa kufikia ndoto hiyo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za...
-
MDALASINI NA ASALI Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na magonjwa na m...
-
Hivyo basi, kama wewe unasumbuliwa na kunenepa ama tumbo kuwa kubwa baada ya kuzaa. Usijali hizi hapa tips. KUMBUKA: be patient w...
-
Uchaguzi wa jinsia, au kutabiri jinsia ya mtoto atakaezaliwa ni topic yenye mkanganyiko katika kada ya afya hususani uwanja wa mat...
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.