Okay, so nimeulizwa kama ninaweza kuongelea/kuandika juu ya kufanya mapenzi/having sex wakati wa ujauzito.
well, ninachojua mimi, ni kwamba kufanya mapenzi wakati wa ujauzito (wakati mama/msichana/mwanamke ni mjamzito) ni kitu cha kawaida and it can be fun of course.
vitu vya kuangalia ni kwamba hubleed wakati uko mjamzito ama labda partner wako ana magonjwa ya zinaa then labda utataka kurefrain from having sex ukiwa mjamzito.
kama doctor wako amekwambia kutofanya mapenzi then definitely usifanye wakati uko mjamzito. na mara nyingi doctor atakwambia labda kutofanya mapenzi miezi miwili ya kwanza and thats about it.
![]() |
wakati wa ujauzito ndo wakati wa kuconnect with your partner. let him know how you are feeling and learn how he is dealing with wewe kuwa mjamzito |
![]() |
steps ya mtoto anavyokuwa toka miezi ya kwanza kwanza |
ukumbuke huu ndo ule wakati wanasema wanaume wengi huwa tempted kucheat kwasababu hawatimiliziwi mahitaji yao. wedha hii ni kweli or not sijui.
anyways, njia chache zinazo sujestiwa kufanya kama ni mjamzito na unahamu na mapenzi;
- kuwa juu yake
- kulala kwa kuelekea upande mmoja (imagine kama ukivilaza vijiko viwili pamoja)
- kupiga magoti (hii inasaidia kutoweka pressure kwenye mgogo)
![]() |
be even more intimate with each other |
![]() |
happy ujauzito and sweet delivery |
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.