NI USHAURI TU
MAPENZI
Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu na uchovu ujikuta katika usingizi mzito na kusahau tendo hili muhimu baada ya kufika kileleni. Umuhimu wa tendo hili ni kupunguza na kuzuia uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya njia ya mkojo(U.T.I) na magonjwa ya zinaa(S.T.I)
Ikumbukwe kuwa tendo la ndoa huongeza presha kwenye kibofu na kusababisha hamu ya kukojoa kila baada ya tendo hali inayokuwezesha kuondoa vimelea vya magonjwa mbali mbali kabla ya kusambaa kwenye kibofu na sehemu nyingine za mwili kusababisha matatizo makubwa. kwa wanaotumia kondomo pia unashauriwa kufanya hivo endapo itapasuka sambamba na kusafisha sehemu za uke na uume kwa maji safi na sabuni.
kwa wanaofanya mapenzi ya mdomo(chumvini na kulamba kone) unashauriwa kutoingiza shahawa, maji maji ya uke/ume na damu mdomoni kwani kuna hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukimwi na hepatitis B.
Ninawatakia siku njema
FAIDA NA HASARA YA WIVU KWENYE MAPENZI
Wivu Kwenye Mapenzi Ni Mzur Na Pia Ni Mbaya Ukizidi Kwenye Mapenzi
Haijaarishi Umependa Au Kutania Kupenda Kwa Mpz Wako
FAIDA YA WIVU
Wivu unafaida sna kwenye mahusiano ya mapenz,
nasifuatazo ni faida zake (wivu wa kawaida)
1). wivu unaleta hali flan ya kujiaminsha kua unapendwa
2). wivu unaongeza upendo kati yenu
3). wivu unawafanya wapenzi kua wakwel kias kwan kwa maswal ya usair utakao ulizwa na mpz wako
4). wivu humfanya mpz adeke na kufurah kuonewa wivu
HASARA ZA WIVU
Ukiwa na wivu ulioptiliza ni hasara kwako na kwa mpz wako
1),unakuwa mtumwa wa fkra na mawazo
2). unawazia kusalitiwa hata kama co kweli
3).ugomvi wa mara kwa mara na ucokua na suluhu
4). kumuna mpz wako mkosaji kila cku hata kama ni makosa ya bahat mbaya
mfano:-
kama akichelewa kupokea cm, au akichelewa kurud nyumban,
5).unajikosesha aman kwa kuyawazia mapenz kuliko maisha
6), unakuwa mtumwa wa mapenz kwa kupga cm na sms any tym
kwa hayo machache nahs 2mejfunza kiac

Post a Comment