Matei Mmasy wa Matei Lounge Area D amepata ajali na kufariki hapo hapo. Poleni sana watu wa Dodoma. Mbele yake nyuma yetu, mungu amlaze pema peponi. Alikua akitoka kwenye mazishi Morogoro ya Rashid 'Chid' Nyau wa Mtendeni aliefariki jana nae kwa ajali ya gari. Mungu azipumzishe roho za marehemu peponi. Amen

Godwin Mkilalu Wamepona watatu, wawili majeraha kuna Dj na Advocate Obuja, Bosi Ngassa inasemaka ni mahututi
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.