MSANII huyu ana zaidi ya nyimbo kumi ambazo zote kaziachia ndani ya media tofauti mikoani ukisikiliza nyimbo yake chini ya production ya DREAMS RECODS chin ya SAILAS nyimbo inakwenda kwa jina la MY VALENTINE utagundua uhalisia wa kipaji hiki.
HUYU jamaa hakuishia hapo amezidi kupasua anga za music wa bongo fleva kwa nyimbo kibao zikiwemo BEAUTIFUL , WAJUA feat FRANK MUSIC na vingi kibao vyenye vionjo tofauti.
Raph Tz, Miracle & One Six — with Miracle Cma and OneSix Victor.
Nawashukuru sana FANS wangu kwa kuendelea kunipa support katika muziki wangu nami nawaahidi vitu vizuri na nyimbo nzuri zinakuja, huyu ndio Video Vixen (Video Queen) aliye act kama MAYA katika Video ya MAYA ikiwa Audio imetengenezwa katika studio ya Biorn Records na Video ikiongozwa na ErickBackamaza.
bofya hapa kusikiliza nyimbo ya my valentine
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.