Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam-Bagamoyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa bandari wakishuhudia kivuko hicho.
Magufuli na Sadick wakiwa ndani ya kivuko.
Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko (TEMESA) Japhet Massele, akitoa ufafanuzi kuhusu kivuko hicho.
Waziri Magufuli akionyeshwa kamera na TV zilizomo ndani ya kivuko.
Sehemu ya viti vilivyomo ndani ya kivuko.
Magufuli akikagua moja ya vifaa vya uokoaji.
Muonekana wa kivuko hiki cha kisasa.
Sehemu ya ndani ya kivuko inavyoonekana.
... Akiwa na wadau mbalimbali.
KIVUKO
kipya kinachotegemea kufanya safari kati ya Jiji la Dar es Salaam na
Bagamoyo kimepokelea leo na Waziri wa Ujenzi,John Magufuli katika
Bandari ya Dar es Salaam.Kivuko
hicho mabacho kitakuwa kikipita katika vituo saba kati ya miji hiyo
mwili, kimefungwa vyombo vya kuongozea vya kisasa (Navigational
Equipment) vikiwemo GPS Compass, Automatic Identification System (AIS),
Radar, Echo Sounder, CCTV Cameras na kina vyombo vya kutosha vya
kuokolea watu kama ‘life jackets’, ‘life bouys’ na ‘life rafts’.Akizungumza
na GPL, Waziri Magufuli alisema” “Kuanza kwa kivuko hiki kutasaidia kwa
kiasi kupunguza foleni kwa wakazi wa jijini la Dar es Salaam, kwani
kina uwezo wa kubeba abiria 300 kwa kukaa.
Post a Comment