Cheki Chumba Cha Jiko anachotumia Kupikia.

Tunaweza kusema Hii ni Kufuru ya Pesa.
Mpenzi mpya wa Diamond Platnumz, mrembo kutoka Uganda Zarina Hassan "Zari". Hilo ndio sehemu ndogo sana ya nyumba yake anayotumia Kama Jiko kwenye Nyumba yake ya Kifahari.
tujipangeeeeeee
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.