Mwanamke
huyo hakuweza kuwatambua watu hao mara moja na kwamba baada ya tukio
hilo Mwenyekiti wa kitongoji hicho, kwa ushirikiano na wasamaria walitoa
taarifa kituo cha polisi Masasi kwa msaada zaidi.
Ollomi
alisema polisi walifanikiwa kufika katika eneo la tukio usiku huo wa
mkesha wa Krismasi na kukuta mama huyo (39) akiwa hajitambui huku sehemu
zake za siri zikiwa na majeraha makubwa na kukimbizwa katika hospitali
ya Mkomaindo ambako hadi sasa amelazwa akipatiwa matibabu.
Alisema
jeshi la polisi mkoani Mtwara linaendelea kuwasaka watuhumiwa hao na
watakapopatikana watafikishwa mahakamani kujibu shitaka hilo
linalowakabili.
Post a Comment