
Baada ya watu wengi kuiona picha hiyo mtandaoni wengi waliihusisha na ushirikina wakiamini kua maadui wa Diamond watakua wamefanya fitna hadi ukuta huo kuanguka. Huku wengine wakisema kua hakuna ushirikina bali ni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa sasa jijini Dar
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.