IJUE SAYANSI YA MFUMO WA NGUVU ZA KIUME.
Ukosefu na/ama
upungufu wa nguvu za
kiume, ni tatizo linalo
wakabili mamilioni ya
wanaume duniani.
Tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu
za kiume ni nini ?
Ukosefu ama
upungufu wa nguvu za
kiume ni ile
hali ya mwanaume
kutokuwa na uwezo
wa kufanya tendo la
ndoa kwa ukamilifu
HATUA MBILI
MUHIMU KATIKA KUSIMAMA
KWA UUME
Ili mwanaume
aweze kufanya tendo
la ndoa na andelee kufanya
tendo la ndoa, ni
lazima uume wake upitie
hatua kuu mbili
kama ifuatavyo :
Hatua ya
kwanza, ni lazima uume
wake uweze kusimama
barabara na kuwa
mgumu kama msumari.
Na hatua
ya pili ni
lazima, uume wake uendelee
kusimama kwa muda
mrefu wakati wa
tendo la ndoa.
Hatua zote mbili
zinapo kamilika, ndipo tunapo
pata kitu kinaitwa
STRONGER AND
LONGER ERECTION
JINSI HATUA
ZA KUSIMAMA KWA
UUME ZINAVYO TOKEA.
1.
HATUA YA KWANZA:
DAMU KUTIRIRIKA
KWA KASI KUINGIA NDANI
YA MISHIPA YA
UUME NA KUUFANYA
UUME KUSIMAMA NA
KUWA MGUMU.
Unapopata wazo
la kufanya tendo
la ndoa, mishipa ya
fahamu iliyopo kwenye ubongo,
hupeleka ishara kwenye
mishipa ya uti
wa mgongo, ambayo nayo
hupeleka taarifa hadi
kwenye mishipa ya
uume. Taarifa inapofika kwenye
mishipa ya uume
huifanya mishipa hiyo ku-relax
na hatimaye kufanya
mishipa ya ateri
kufunguka na kutanuka. Mishipa ya
ateri inapo tanuka
na kufunguka, huruhusu damu
kuingia kwa kasi
ndani ya mishipa
ya uume na
hivyo kuufanya huume
kusimama.
Ni muhimu
kujua kuwa, mishipa ya
uume inapo relax hupelekea
kuisukuma na hatimaye kuiziba
mishipa ya vena
iliyo karibu na
mishipa ya uume
na hivyo kuiondolea
uwezo wa kunyonya
damu iliyomo ndani
ya mishipa ya
uume na kuipeleka
sehemu nyingine za
mwili.
N.B:
Kazi kubwa ya
mishipa ya vena
ni kunyonya damu
iliyomo ndani ya
mishipa ya uume
na kuipeleka katika
sehemu nyingine za
mwili. Au kwa
lugha nyingine unaweza
kusema, kazi kubwa ya
mishipa ya vena
ni kuhakikisha hakuna
damu kwenye mishipa
ya uume.
FAHAMU UHUSIANO ULIOPO KATI YA UNENE & UZITO KUPITA KIASI ( OVERWEIGHT & OBESITY ) NA TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Unene na
uzito uliozidi ( Obesity )
ni miongoni mwa
vyanzo na visababishi
vikuu vya tatizo
la ukosefu na
upungufu wa nguvu
za kiume.
Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali
za kitabibu, asilimia kubwa
ya wanaume wenye
unene na uzito
uliozidi, wanakabiliwa na tatizo
la ukosefu na
upungufu wa nguvu
za kiume.
KWANINI WANAUME
WENYE UNENE NA
UZITO ULIOZIDI WANAKABILIWA
NA HATARI KUBWA
YA KUPATWA NA
TATIZO LA UKOSEFU
NA UPUNGUFU WA
NGUVU ZA KIUME.
Wanaume wenye
uzito na unene uliozidi
wapo katika hatari
kuu ya kupatwa
na tatizo la
ukosefu na upungufu
wa nguvu za
kiume kwa sababu
kuna uhusiano mkubwa kati
ya unene/uzito uliozidi
pamoja na tatizo
la ukosefu wa
nguvu za kiume.
Kama tulivyo elezea katika
makala zetu za
nyuma, SUALA LA NGUVU
ZA KIUME NI SUALA
LA KIMFUMO. Mfumo
wa nguvu za
kiume unahusisha ogani
mbalimbali katika mwili
wa mwanadamu.
Ili mwanaume
aweze kuwa na
nguvu imara za
kiume, ni lazima ogani
zote zinahusika katika
mfumo, ziwe imara na
zenye afya njema, na
pia ni lazima
ziwe na ushirikiano
imara.
Kudhoofishwa kwa
ogani moja wapo
kati ya ogani
hizo kutasababisha mhusika
apatwe na tatizo
la ukosefu na/ama
upungufu wa nguvu
za kiume.
Kwa kukumbushia
tu, mambo makuu
muhimu katika mfumo
wa nguvu za
kiume yapo matano
ambayo ni
1. Ubongo imara na wenye afya njema
2. Mishipa imara ya kusafirishia damu mwilini
fumo imara na wenye afya wa usafirishaji damu mwilini.
4.Mishipa na misuli ya uume iliyo imara na yenye afya njema
5.Pamoja na uhusiano imara na wenye afya kati ya mishipa ya fahamu iliyo katika ubongo (
nerves),mishipa ya kwenye uti wa mgongo (
spinal cords ) pamoja na mishipa &
misuli ya kwenye uume.
Sasa basi, hitilafu yoyote
katika mojawapo kati
ya mambo matano
tajwa hapo juu, itamfanya mhusika
apatwe na tatizo
la ukosefu na/ama
upungufu wa nguvu
za kiume.
UNENE NA
UZITO ULIOZIDI UNA
SABABISHA VIPI TATIZO
LA UKOSEFU NA/AMA
UPUNGUFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Kwa
lugha nyepesi na yenye
kueleweka kwa kila
mtu, mtu mwenye unene
na uzito uliopitliza, maana yake
ni kwamba ana
mafuta , sukari na
kolestrol nyingi katika
damu yake.
Kwa maana
nyingine, ni kwamba kama wewe
una unene uliopitiliza, maana yake ni
kwamba, ogani zilizomo ndani
ya mwili wako
zinaogelea katika mafuta
yaliyomo ndani ya
mwili wako.
1. Kolestrol
nyingi katika damu, huathiri mfumo
usafirishaji damu katika
mishipa ya inayo
tumika kusafirisha damu
katika sehemu mbalimbali
za mwili ikiwamo
katika mishipa ya
kwenye uume. Matokeo yake
basi , kolestrol hiyo
husababisha kuziba kwa
ateri ambayo ndio
njia itumikayo kupeleka
damu katika mishipa
na misuli ya
kwenye uume, na kama
damu haitaweza kusafirishwa
hadi kwenye mishipa
ya kwenye uume, maana
yake ni kwamba, mwanaume huyo
hatokuwa na uwezo
wa kusimamisha uume
wake kwa sababu, damu
ndio inayo ufanya
uume uweze kusimama.
2.
Kama ilivyo kwa
kolestrol, sukari na mafuta
mengi katika damu
huathiriki utiririkaji wa
damu mwilini na
hivyo kufanya vigumu
damu kutiririka kuelekea
kwenye mishipa na misuli ya
uume ambayo ndio
inahusika na kuufanya
uume usimame.
3. Unene
na uzito uliopitiliza
una uhusiano mkubwa
sana na ugonjwa
wa kisukari. Na ugonjwa
wa kisukari nao una
uhusiano mkubwa na
tatizo la ukosefu
wa nguvu za
kiume, kwa sababu unaathiri
mfumo mzima wa
nguvu za kiume
kama ifuatavyo :
Kwanza;unashambulia na kudhoofisha
mishipa ya ubongo
na kuifanya ishindwe
kuwa na uhusiano
mzuri na mishipa
ya kwenye uti
wa mgongo, pamoja na
mishipa na misuli
ya kwenye uuume. Pili unashambulia na kudhoofisha
mishipa ya usafirishaji
damu mwilini na tatu
unasababisha kudhoofika kwa
ogani muhimu katika
mwili wa mwanadamu
kama vile figo.
Hivyo basi,
mwanaume mwenye unene
na uzito ulio zidi, yupo katika
hatari kubwa sana
ya kupatwa na
tatizo la ukosefu
na/ama upungufu wa
nguvu za kiume, kuliko
inavyo weza kufikiriwa.
4. Unene
na uzito uliopitiliza
una uhusiano mkubwa
na tatizo la
shinikizo la damu. Kwa
lugha nyingine ni
kwamba, watu wanene wapo
katika hatari kubwa
sana ya kupatwa
na tatizo la
shinikizo la damu,. na
tatizo la shinikizo
la damu nalo
lina uhusiano mkubwa
sana na tatizo
la ukosefu na
upungufu wa nguvu
za kiume.
Shinikizo
la Damu husababisha mishipa ya ateri ambayo
hutiririsha damu iingiayo kwenye uume
kuziba na kushindwa kutanuka kwa kiwango
inachotakiwa kutanuka.
Pia
huifanya mishipa laini katika uume
kushindwa ku-relax na hivyo kushindwa
kuizuia mishipa ya vena ya kunyonya
damu kutoka kwenye mishipa ya uume na
kuipeleka kwenye maeneo mengineyo ya mwilini.
Matokeo yake kunakuwa hakuna kiasi
cha kutosha cha damu iingiayo kwenye
uume na hivyo kufanya uume ushindwe kusimama.
Vile vile hata kiasi kidogo
cha damu kinacho ingia kwenye uume,
kinashindwa kuendelea kuhifadhiwa ndani ya
uume wakati uume ukiwa umesimama, na matokeo yake
ni uume kusinyaa ndani ya kipindi kifupi
sana tangu usimame.
Kama
hiyo haitoshi, tatizo la
unene na uzito
kupita kiasi lina
weza kupelekea mhusika
kupatwa na magonjwa
ya presha na
moyo ambayo nayo
yanachangia tatizo la
ukosefu wa nguvu
za kiume kwa
kiasi kikubwa sana.
SULUHISHO
LA TATIZO NI
NINI?
Kama
wewe ni mwanaume
mwenye tatizo la
unene na uzito
ulio zidi, unapaswa kufanya mambo
yafuatayo:
i.
Kupunguza kolestrol mwilini: Unaweza kupunguza
kolestrol na mafuta
mengi mwilini kwa kufanya
mazoezi na diet ama
kwa kutumia
dawa mbalimbali za
asili ama vyote
kwa pamoja.
ii.
Unapaswa kupunguza unene
na uzito : Unaweza
kupunguza unene na
uzito kwa kutumia
mazoezi na diet ama
kwa kutumia dawa
asilia ya MKATAA
KITAMBI ambayo inasaidia
sana kupunguza mafuta
mwilini, kupunguza unene na
uzito.
TIBA
ASILIA YA NGUVU
ZA KIUME KWA
WANAUME WENYE UNENE & UZITO ULIOZIDI.
Kwa
mwanaume mwenye unene &
uzito uliozidi ambaye
pia ana sumbuliwa
na tatizo la
ukosefu wa nguvu
za kiume, anashauriwa kutumia
dawa zifuatazo kwa pamoja
1. Dawa ya
kuondoa kolestrol na
mafuta mengi kwenye
damu.
2. Dawa ya
kupunguza unene na
uzito pamoja na
3. Dawa
asilia ya nguvu
za kiume iitwayo JIKO
ambayo inatibu na
kuponya kabisa tatizo
la ukosefu na/ama upungufu wa
nguvu za kiume
ndani ya siku
thelathini tu.
Dawa ya JIKO
inapatikana kwa gharama
ya SHILINGI ELFU
THEMANINI.
Dawa ya
JIKO pamoja na
dawa za kuondoa
kolestrol & mafuta
mwilini, kupunguza unene na
uzito zinapatikana katika
duka la kuuza
dawa asilia la
NEEMA HERBALIST &
NUTRITIONAL FOODS CLINIC
lililopo jijini DAR
ES SALAAM, katika eneo
la TABATA MAKOKA
karibu na Shule
ya Sekondari ya Mt. ANNUARITE.
WASILIANA
NASI KWA SIMU
NAMBA 0766 53
83 84.
Kwa wateja waliopo
jijini DAR ES
SALAAM, ambao hawana nafasi
ya kufika ofisini
kwetu,
Post a Comment