Tafiti mbalimbai zinaonesha baadhi ya
tabia zilinganazo na jinsi wanawake walivyo wakihusishwa na tabia
tunazozishuhudia katika maisha ya kimapezi yetu ya kila siku….
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao:
- Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
- Wasichana warefu huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui
kubembeleza hata kdogo - Wasichana wenye DIMPOZ, MWANYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS NA KITHEMBE, hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.
- Wasichana WANENE huongoza kwa MAPENZI YA KWELI yaani akipenda amependa kweli
- Wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni WABISHI sana na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
- Wasichana wenye NGOZI NYEUSIwanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe
- Wasichana weupe wakiongoza kwa kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao
huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda kuolewa na waarabu kulko wanaume weusi.
Post a Comment