Tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini
?
Ukosefu ama upungufu
wa nguvu za kiume ni ile hali ya
mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo
la ndoa kwa ukamilifu
HATUA MBILI MUHIMU
KATIKA KUSIMAMA KWA UUME
Ili mwanaume
aweze kufanya tendo la ndoa na
andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima
uume wake upitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo
:
Hatua ya kwanza, ni
lazima uume wake uweze kusimama barabara
na kuwa mgumu kama msumari.
Na hatua ya pili
ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa
muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Hatua zote mbili zinapo kamilika, ndipo
tunapo pata kitu kinaitwa STRONGER AND
LONGER ERECTION
JINSI HATUA ZA
KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA.
1. HATUA YA KWANZA:
DAMU KUTIRIRIKA KWA
KASI KUINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME
NA KUUFANYA UUME KUSIMAMA NA KUWA MGUMU.
Unapopata wazo
la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu
iliyopo kwenye ubongo, hupeleka ishara
kwenye mishipa ya uti wa mgongo, ambayo nayo
hupeleka taarifa hadi kwenye mishipa ya
uume. Taarifa inapofika kwenye mishipa ya
uume huifanya mishipa hiyo ku-relax na hatimaye
kufanya mishipa ya ateri kufunguka
na kutanuka. Mishipa ya ateri inapo tanuka
na kufunguka, huruhusu damu kuingia kwa
kasi ndani ya mishipa ya uume na
hivyo kuufanya huume kusimama.
Ni muhimu
kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax
hupelekea kuisukuma na hatimaye kuiziba mishipa
ya vena iliyo karibu na mishipa ya
uume na hivyo kuiondolea uwezo wa
kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa
ya uume na kuipeleka sehemu nyingine
za mwili.
N.B: Kazi
kubwa ya mishipa ya vena ni kunyonya
damu iliyomo ndani ya mishipa ya
uume na kuipeleka katika sehemu nyingine
za mwili. Au kwa lugha nyingine
unaweza kusema, kazi kubwa ya mishipa ya
vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye
mishipa ya uume.
2. HATUA YA PILI :
DAMU KUENDELEA
KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI UUME UKIWA
UMESIMAMA NA HIVYO KUUFANYA UUME UENDELEE
KUDUMU KATIKA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU.
Uume ulio
simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa
ya vena isiwe na uwezo wa
kunyonya damu kutoka katika mishipa ya
uume na kuipeleka katika sehemu nyinginezo
za mwili. .
Mishipa ya
Vena ndio inayo husika na kunyonya
damu kutoka kwenye mishipa ya uume na
kupeleka sehemu nyingine za mwili.
Ili uume uendelee kusimama lazima mishipa
hii ya vena iwe imezibwa. Ili iweze kuzibwa
ni lazima misuli laini ya kwenye
uume iwe - ime relax na hivyo kuifanya
mishipa ya vena kushindwa ku nyonya
damu kutoka kwenye uume.
Endapo mishipa ya
vena itazibuka , basi itanyonya na kutoa damu
yote kutoka kwenye mishipa ya
uume uliosimama na kuipeleka sehemu nyinginezo
za mwili na hatimaye uume huo ulio simama
na utasinyaa mara moja.
JINSI UUME UNAVYO
SIMAMA NA KUSISIMKA.
Tumeisha zifahamu
hatua mbili muhimu katika kusimama kwa uume
Jinsi Uume unavyo
simama: Katika
uume kuna chemba yenye mishipa laini sana,
ambayo ndio huufanya uume kusimama.
Mishipa hii ipo kama
sponji hivyo huweza kunyauka na kutanuka.
Damu inapoingia
ndani ya mishipa hii huufanya uume
kusimama na kuwa mgumu kama msumari.
Damu inapoendelea
kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati
wa tendo la ndoa, huufanya uume
uendelee kusimama.
Mwanaume unapo patwa
na wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa
ya fahamu iliyo kwenye ubongo hupeleka
ishara kwenye uti wa mgongo, ambao nao hufikisha
taarifa kwenye mishipa ya uume.
Taarifa ikisha fika
kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya
uume ku-relax na mishipa ya uume
inapo relax, hufanya mambo makuu mawili;
i.
Kwanza hufanya mishipa ya ateri kufunguka
na hivyo damu kutiririka kwa kasi
sana kuingia kwenye mishipa ya uume
( Mishipa ya
ateri ndio inayo tumika kama njia ya
kuingiza damu kwenye uume. Bila mishipa ya
ateri imara na yenye afya, damu haiwezi
kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu
isipoweza kuingia kwenye mishipa ya uume, basi
uume hauwezi kusimama )
ii.
Pili huibana mishipa ya vena na hivyo
kuizuia kunyonya damu kutoka kwenye
uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za
mwili. Matokeo yake kuufanya uume uendelee
kusimama kwa muda mrefu wakati wa
tendo la ndoa.
Kumbuka ,kazi kubwa
ya mishipa ya neva iliyo karibu na
mishipa ya uume, ni kunyonya damu kutoka ndani ya
mishipa ya uume na kuipeleka kwenye
sehemu nyingine za mwili. Kwa lugha nyingine,
kazi kubwa ya mishipa ya vena ni
kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya
uume ulio simama.
Kadri damu inavyo
zidi kuingia ndani ya mishipa ya uume,
ndivyo uume unavyo zidi kuwa mgumu na
kukakamaa.
Na kadri damu
inavyo hifadhiwa ndani ya mishipa ya uume,
ndivyo uume unavyo endelea kusimama wakati
wa tendo la ndoa kwa muda mrefu.
Baada ya kumaliza
kufanya tendo la ndoa,mishipa ya uume
inarudi katika hali yake ya kawaida (inanyauka ),
ikisha nyauka, mishipa ya ateri inanyauka pia,
vena zinafunguka na kunyonya damu katika
mishipa ya uume na kuirejesha katika sehemu
nyinginezo za mwili na hatimaye uume
kurudi katika hali ya kawaida ( Flaccid ).
Hali hii itaendelea
kujirudia kwa kadri utakavyo kuwa
ukiendelea kufanya tendo la ndoa.
Mambo Muhimu Katika
Kuufanya Uume Usimame na Kuendelea kudumu katika
kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo
la ndoa.
Ili uume uweze
kusimama imara kama msumari na uendelee
kusimama imara na kwa muda mrefu
wakati wa tendo la ndoa, ni lazima mambo
yafuatayo yawepo.
1.
Mishipa ya uume iliyo imara na yenye
afya njema.
2.
Mfumo mzuri wa damu katika mwili
mzima.
3.
Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka
ndani ya mishipa ya uume.
4.
Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa
ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves),
mishipa ya kwenye uti wa mgongo
pamoja na mishipa ya kwenye uume.
MAMBO YANAYO
SABABISHA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA
KIUME.
Tumeshajua nguvu za
kiume ni nini, jinsi uume unavyo simama,
hatua za kusimama kwa uume, pamoja na
mambo yanayo fanya uume uweze kusimama
na kuwa na uwezo wa kuendelea
kusimama wakati wa tendo la ndoa.
Ni vyema tukajua
mambo yanayo sababisha kushindwa kusimama
kwa uume, mambo yanayo sababisha uume ushindwe
kuendelea kusimama kwa muda mrefu wakati
wa tendo la ndoa pamoja na
mambo yanayo fanya mtu ashindwe kurudia
tendo la ndoa.
Yafuatayo ni mambo
yanayo sababisha ukosefu wa nguvu za kiume.
1. MAGONJWA
YANAYO SHAMBULIA MFUMO WA DAMU PAMOJA
NA MISHIPA YA DAMU.
Damu
ndio nishati inayo wezesha kusimama kwa
uume na kuufanya kuwa mgumu na imara kama
msumari.
Damu
ndio nishati inayo weza kuufanya uume uendelee
kusimama wakati wa tendo la ndoa.
Damu
ndio nishati inayo upa uume uimara na
uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi
ya mara moja.
Hivyo
basi ili uume uweze kuwa imara na
wenye nguvu, pamoja na kuwa na uwezo
wa kumudu na kustahimili tendo la
ndoa wakati wowote , basi ni lazima
mwanaume awe na mfumo imara wa damu
utakao ruhusu kutiririka kwa damu kwenda
katika sehemu mbalimbali za mwili ikiwamo
uume.
Ili
mfumo uweze kuwa imara ni lazima
mhusika awe na damu ya kutosha, na
pili awe na mishipa ya damu yenye
afya.
Katika
mwili wa mwanadamu,kuna mishipa inayo
tumika kusafirisha damu kutoka katika sehemu
moja ya mwili kwenda katika sehemu nyingine
ya mwili ikiwemo uume. Mishipa hiyo ni
kama vile vena (veins), atery ( ateri) na capillary (
kapilari )
Mishipa
hii ya damu inapaswa kuwa imara na
yenye afya njema wakati wote. Mishipa
hii ikipatwa na hitilifu, basi itazuia
kusafirishwa kwa damu katika sehemu mbalimbali
za mwili wa mwanadamu na hatimaye kufanya
suala la kuwa na nguvu za kiume
kwa mhusika kuwa ugumu kwa sababu
ya kushindwa kupeleka damu kwenye mishipa
ya uume.
Magonjwa
kwenye mishipa ya damu huzuia
kutirika kwa damu kwenye ogani muhimu
kama vile moyo, ubongo na figo.
VIASHIRIA VYA
MAGONJWA KWENYE MISHIPA YA DAMU.
Utajuaje kwamba una
magonjwa kwenye mishipa yako ya damu ?
Ukiwa una matatizo
yafuatayo ya kiafya, ni ishara kwamba, una
magonjwa kwenye mishipa yako ya damu:
1. Kolestrol ( Ama
lehemu kwenye damu )
Kolestrol nyingi
kwenye damu, huzuia kutiririka kwa damu.
Kolestrol ikizidi kwenye damu, hupelekea
kuziba mishipa ya ateri ambayo kazi
yake ni kupeleka damu kwenye uume. Matokeo
yake ni mhusika kutokuwa na uwezo wa
kusimamisha uume wake barabara kwa sababu uume
hauwezi kusimama bila damu kuingia ndani
ya mishipa ya uume. Hivyo basi pamoja
na dawa ya nguvu za kiume, yakupasa
kutibu kolestrol. Unaweza kuondoa kolestrol
kwenye damu kwa kutumia dawa mbali za
asili kama vile mdalasini,uwatu, habbat sodah etc.
Jinsi ya kujitibu kolestrol kwa kutumia dawa
asilia tafadhali tembelea
2.
Shinikizo Kubwa la Damu
Shinikizo
Kuu la Damu husababisha mishipa ya ateri
ambayo hutiririsha damu iingiayo kwenye
uume kuziba na kushindwa kutanuka kwa
kiwango inachotakiwa kutanuka.
Pia
huifanya mishipa laini katika uume
kushindwa ku-relax na hivyo kushindwa
kuizuia mishipa ya vena ya kunyonya
damu kutoka kwenye mishipa ya uume na
kuipeleka kwenye maeneo mengineyo ya mwilini.
Matokeo
yake kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha
damu iingiayo kwenye uume na hivyo
kufanya uume ushindwe kusimama.Vile vile hata kiasi kidogo cha damu kinacho ingia kwenye uume, kinashindwa kuendelea kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume ukiwa umesimama, na matokeo yake ni uume kusinyaa ndani ya kipindi kifupi sana tangu usimame.
Pamoja na kutumia dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutumia dawa asilia kujitibu tatizo la shinikizo kuu la damu.
Kufahamu jinsi ya kujitibu tatizo la shinikizo la damu kwa njia ya asilia, tembelea :
http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
3. Ugonjwa wa kisukari :
Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume. Kusimama kwa uume kunategemeana na kutiririka kwa damu mwilini. Kisukari huathiri mishipa ya damu pamoja na usambazaji wa damu kwenye ogani muhimu mwilini kama vile moyo, ubongo, figo na uume.
Kiukweli, mwanaume mwenye kisukari yupo katika risk kubwa ya kupatwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume,m tena katika kiwango kikubwa sana.
Unashauriwa pamoja na kutumia dawa ya nguvu za kiume, tumia pamoja na dawa mbalimbali za asili kwa ajili ya kubalance sukari yako mwilini. Zipo dawa mbalimbali za asili zinazo saidia kubalance kiwango cha sukari mwilini. Dwa hizo ni pamoja na mdalasini, unga wa uwatu, mbegu za uwatu, manjano, majani ya manjano,mbegu za katani, nakadhalika. Namna ya kutumia dawa hizo kujitibu tatizo la sukari, tafadhali tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
4. Magonjwa ya figo
Tatizo la ugonjwa wa figo huathiri vitu vingi ambavyo ni muhimu sana katika kuufanya uume uweze kusimama na kuendelea kudumu katika kusimama.
Tatizo la figo, huathiri homoni, huathiri kutiririka kwa damu kwenda kwenye mishipa ya uume. Huathiri mfumo wa mishipa ya neva pamoja na nishati ya mwili mzima.
Pamoja na dawa ya kutibu tatizo la nguvu za kiume, unapaswa pia, kutibu tatizo la figo. Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa mbalimbali ya figo kwa kutumia dawa mbalimbali asilia, tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
5. Ugonjwa wa moyo
Moyo ndio supplier mkubwa wa damu katika sehemu mbalimbali za mwili. Ugonjwa wa moyo hupunguza uwezo wa moyo kusambaza damu kwenye mishipa mbalimbali ya damu na hivyo kuathiri utendaji kazi wa mishipa ya damu kama vile ateri na vena. Matokeo yake ni mishipa hiyo kushindwa kupeleka damu ya kutosha katika uume pamoja na kushindwa kuifanya mishipa ya uume kurelax na matokeo yake,. Ukosefu wa nguvu za kiume. Hivyo basi, pamoja na dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutibu tatizo la moyo. Kufahamu jinsi unavyo weza kutibu ugonjwa wa moyo kwa dawa asilia, tembelea :
http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
6. Kupwaya kwa mishipa ya vena.
Kazi kubwa ya mishipa ya vena kwenye uume kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. Mishipa ya vena iliyopo karibu na uume kazi yake kubwa ni kuhakikisha hakuna damu yoyote kwenye mishipa ya uume. ( KUMBUKA KUWA DAMU NDIO HUFANYA UUMU USIMAME, HIVYO CHOCHOTE KILE KITAKACHO FANYA DAMU ISIKAE NDANI YA MISHIPA YA UUME , KITAFANYA UUME USINYAE )
Ili uume uendelee kusimama ni lazima, mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume kupeleka nje ya mishipa ya uume.
Na ili mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume ulio simama na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili, ni lazima mishipa ya uume iwe imara na thabiti isiyo na hitilafu yoyote ile.
Mishipa ya vena ikipwaya, mwanaume hutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wako, na ikitokea umefanikiwa kuusimamisha basi utasimama ukiwa legelege sana na utasinyaa ndani ya muda mfupi sana, kwa sababu damu iliyo ingia ndani ya uume wako na kuufanya usimame, itanyonywa ndani ya muda mfupi sana na kutolewa nje ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume wako usimame.
Tatizo
la kupwaya kwa mishipa ya vena
linasababishwa na kupiga punyeto kwa muda
mrefu pamoja na ugonjwa wa kisukari.
KUPIGA
PUNYETO KWA MUDA MREFU: Kupiga punyeto
kwa muda mrefu ni moja kati ya
vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu
wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya
vijana wenye tatizo la ukosefu wa
nguvu za kiume, linasababishwa na upigaji
wa punyeto kwa muda mrefu.
JINSI
PUNYETO INAVYO SABABISHA UKOSEFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Unapopiga
punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya
uume ambayo ndio inaufanya uume usimame.
Matokeo
yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na
kutokuwa na uwezo wa kusimama tena.
Mishipa
ya uume iliyo legea kutokana na
upigaji punyeto, huleta madhara yafuatayo :
i.
Huondoa
uwezo wa mishipa ya uume kurelax.
(
Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa,
mishipa ya uume ina relax , mishipa iki
relax husababisha mishipa ya ateri kupanuka
na kuruhusu damu kingie ndani ya
mishipa ya uume na hatimaye kuufanya
uume usimame na kuwa mgumu)
ii.
Mishipa
ya kiume ikishindwa ku relax
husababisha mishipa ya ateri kuziba
iii.
Mishipa
ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka
kuingia kwenye mishipa ya uume, na hata
ikitokea damu imeingia ndani ya mishipa
ya uume basi huingia kiasi kidogo sana
tena kwa presha ndogo sana
hivyo basi hata kama uume utasimama
basi utasimama ukiwa legelege sana
iv. Mishipa
ya uume ikishindwa kurelax basi haitakuwa
na uwezo wa kuipush na kuiziba
mishipa ya vena ambayo ndio hunyonya
damu kutoka kwenye mishipa ya uume
ulio simama. Matokeo yake basi, damu kidogo
iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume
na kuufanya uume kusimama, hunyonywa na
kutolewa nje ya mishipa ya uume ndani
ya sekunde chache sana na hivyo
kuufanya uume usinyae ndani ya muda mfupi
sana.
v.
Mishipa
ya uume kulegea
vi. Uume
kurudi ndani na kusinyaa na kuwa kama
uume wa mtoto
6.
Tatizo la unene kupita kiasi : Tatizo la
unene na uzito kupita kiasi ni
miongoni mwa mambo yanayo sababisha
upungufu wa nguvu za kiume. Unene kupita
kiasi humuweka mtu katika hatari ya kupatwa
na magonjwa kama vile kisukari, presha, moyo
na shinikizo kuu la damu. Na magonjwa
ya kisukari, moyo,presha na shinikizo la
damu husababisha upungufu na ukosefu wa
nguvu za kiume, na hivyo kumuweka muhusika
katika hatari kuu ya kupatwa na
tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za
kiume.Hivyo basi kwa wewe mwenye tatizo la unene na uzito kupita kiasi , pamoja na kutumia tiba ya nguvu za kiume, ni vyema ukafanya na mpango wa kupunguza unene na uzito wako.
JINSI YA KUPUNGUZA
UZITO NA UNENE KWA KUTUMIA TIBA ASILIA,
TAFADHALI TEMBELEA:
Uume hauwezi kusimama bila ya kuwa na ushirikiano na ubongo. Ili mtu uume uweze kusimama, mtu lazima apate wazo la kufanya tendo la ndoa (UBONGO UNA HUSIKA HAPO ), akishapata wazo, ubungo hupeleka ishara kwenye mishipa ya fahamu iliyopo katika uti wa mgongo ambayo nayo hupeleka taarifa kwenye mishipa ya uume then uume usimama. Hivyo basi ili mtu aweze kuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake ni lazima kuwa na mawasiliano mazuri na imara kati ya mishipa ya fahamu ( ubongo ), mishipa ya kwenye uti wa mgongo na mishipa ya kwenye uume. Bila ushirikiano kati ya vitu hivyo vitatu, uume hauwezi kusimama.
Magonjwa yanayoweza kuathiri ushirikiano kati ya mishipa ya ubongo na mishipa ya uume, yanaweza kusababisha kushindwa kusimama kwa uume.
Magonjwa hayo ni pamoja na kiharusi,kupoteza kumbukumbu ( Alzheimer ), multiple sclerosis pamoja na ugonjwa wa Parkinson.
Ni vyema mgonjwa akatibiwa kwanza magonjwa hayo kabla ya kuanza kutumia dawa ya nguvu za kiume. Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa tajwa hapo juu kwa njia asilia,tafadhali tembelea
VIASHRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo ;
1. Kushindwa
kabisa kusimamisha uume wake
2. Uume
kusimama ukiwa legelege
3. Kuwahi
kumaliza tendo la ndoa
4. Mwanaume
kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la
ndoa katika baadhi ya staili ( Mara
nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa
kufanya tendo la ndoa staili
moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na
uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa
staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa
staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa
kusimamisha uume wake japo katika hali
ya u lege lege
5. Uume
kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe
bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda
mrefu.
6. Uume
kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
7. Uume
kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya
kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume
wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati
wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume
amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
8. Uume
kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani
ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo
la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo
cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
9. Kutokuwa
na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
10.
Kupatwa
na maumivu wakati wa tendo la ndoa.
VIASHIRIA VYA MWANAUME ASIYE NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;
i.
Uume
husimama ukiwa imara kama msumari.
ii.
Hukaa
kifuani kwa muda mrefu ( Wastani ni
kati ya dakika 20 hadi 45 )
iii.
Huweza
kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara
tatu bila misuli ya uume kuchoka.
iv.
Huweza
kufanya tendo la ndoa kwa staili
yoyote ile
v.
Uume
husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala
kuwa stimulated kwa namna yoyote ile
vi.
Kwa
ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na
kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu
mkubwa.
TIBA ASILIA YA
TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA
KIUME.
Dawa asilia ya JIKO ni dawa asilia inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
MFUMO WA DAWA
Dozi ya dawa ya JIKO ni mkusanyiko wa dawa nne asilia zenye uwezo mkubwa sana katika kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hizi zipo katika mfumo wa MIZIZI na UNGA UNGA.
JINSI DOZI YA
DAWA YA JIKO INAVYO FANYA KAZI.
Dozi
ya dawa ya JIKO inafanya kazi
zifuatazo katika mwili wa mwanadamu.
KAZI INAYO FANYWA
NA DAWA YA JIKO .
Dawa ya JIKO
inasadia katika mambo makuu yafuatayo:
1. Inasaidia
kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na
hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa
kusimama barabara kama msumari wakati wa
tendo la ndoa.
2. Inasaidia
kusafisha mishipa ya kwenye uume na
hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya
msukumo wa damu kwenye mishipa ya
kwenye uume.
3. Huongeza
damu mwilini
4. Husaidia
kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye
mishipa ya uume na hivyo kuufanya
uume kuwa na nguvu za ajabu.
5. Huipa
misuli ya uume uwezo wa kuziba wa
kuizuia mishipa ya vena kunyonya damu
kwenye mishipa ya uume wakati wa
tendo la ndoa na matokeo yake kukupa
uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa
muda mrefu
( Kuzuia hali ya kufika kileleni haraka
)
6. Husaidia
kurelax mind na hivyo kumfanya mtu
awe na uwezo wa kuconcentrate wakati
wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na
msongo wa mawazo
7. Hurejesha,
kuimarisha na kuboresha ushirikiano kati ya
mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo
(nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo
pamoja na mishipa ya kwenye uume
8. Humfanya
mwanaume awe na uwezo wa kurudia
tendo la ndoa mara nyingi zaidi bila
kuchoka.
9. Husaidia
kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
10.
Husaidia
kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.
11.
Husaidia kutibu side effects za punyeto
na matumizi ya muda mrefu ya dawa
kali za (za kizungu ) za kuongeza nguvu
za kiume.
12.
Husaidia kutibu chango la kiume.
13.
Dawa
hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa
na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo
la ndoa.
BEI
YA DAWA: Dozi ya dawa ya JIKO
inapatikana kwa gharama ya SHILINGI ZA TANZANIA
ELFU THEMANINI TU (Tshs.80,000/=)
MAHALI
TUNAPOPATIKANA :
Dozi
ya dawa ya
JIKO, inatolewa na duka
la dawa asilia
la NEEMA HERBALIST
NUTRITIONAL FOODS CLINIC. Tunapatikana jijini
DAR ES SALAAM, katika eneo
la UBUNGO jirani na SHULE YA
MSINGI UBUNGO NATIONAL
HOUSING nyuma ya jengo
la UBUNGO PLAZA.
Kwa
wasio weza kufika
ofisini kwetu, tunatoa huduma
ya kuwapelekea dawa mahali
walipo
( DELIVERY )
Kwa
wateja waliopo nje
ya DAR ES
SALAAM, watatumiwa dawa kwa
njia ya mabasi, wateja waliopo
Zanzibar, watatumiwa dawa kwa
njia ya boti
na kwa wateja
waliopo Ulaya, America na
Arabuni, watatumiwa dawa kwa
njia ya DHL au
POSTA.
WASILIANA NASI
KWA SIMU NAMBA
Post a Comment