"Kuondolewa kwa zitto kwenye nyadhifa zake Mbili ni swala la kimkakati, nani swala nililopangwa maana zitto amekuwa Mwiba Mchungu kwao. Na ili kunusuru masilai yao nikumuzimisha zitto ili ajenda zake nazo zife.
Kwa ufipi tutambue kuwa Zitto na Kitilia ni Marafiki sana na waga wanashauriana Mambo mengi, kwa hiyo maamuzi anayofanya zitto kwa asilimia kubwa kunaushauri wa Kitila. Kwahiyo lao ni moja ndio maana meona dawa ni kutupa Jongoo na mti wake. Sababu za kusulubiwa:-
Kwanza: Mbowe ameanza mkakati wa kubadili Katiba ya Chama (CDM) iliyoweka ukomo wa Mwenyekiti wa Chama, wakati zitto na kitila hawaungi Mkono swala hilo. Pia Mtu ambae alikuwa anaonekea kuwa na uwezo na anaungwaji mkono wa kuwa Mwenyekiti wa CDM ni zitto kwa hiyo kumsimamisha ni Mkakati wa ndani wa Mbowe (Mbowe Internal Party techniques) ya kuhakikisha kuwa Mbowe anazidi kuwa Mwenyekiti wa CDM bila upizani wowote.

Post a Comment

POPULAR POST

 
Top