







Baadhi ya mashabiki ambao wameingia tayari katika Viwanja vya Leaders kwa shoo ya P-Square.
Mpaka
sasa saa 3: 18 usiku bado shoo haijaanza na wananchi bado wanazidi
kuingia ndani ya Viwanja vya Leaders kwa ajili ya burudani kali kutoka
kwa wakali hao Peter na Paul Okoye.
Post a Comment