COPY FROM
SURE HERBAL CLINIC.
Utokaji wa majimaji machafu au uchafu katika njia ya uzazi ya Mwanamke (Vaginal Discharge)
NOTE: ikumbukwe kwamba utokaji wa ‘mucus’ au majimaji ukeni ni jambo la kawaida wakati ambao mwanamke bado anazaa kama sehemu ya mzunguko wa hedhi ili kuondoa sumu mwilini. Hata hivyo, majimaji hayo yanakuwa yanaashiria ugonjwa wa hatari yanapokuwa na dalili zifuatazo:-
(i) Majimaji yanapobadilika rangi na kuwa kama maziwa mtindi, brown, njano, kijani, kama usaha au kama rangi ya cream.
(ii) Majimaji yanapoambatana na harufu kali na mbaya hata kama mwanamke ameogga na kuvaa vizuri. Kuna wakati harufu inakuwa kama shombo ya samai au harufu nyingine mbaya. Wakati wa tendo la ndoa, chumba kizima kinabadilika harufu na kuwa mbaya.
(iii) Majimaji ya hedhi yanapozidi kiwango chake cha kawaida cha kila wakati.
(iv) Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
(v) Muwasho ukeni
(vi) Uke kuwa mwekundu kuliko rangi yake ya ngozi ya siku zote/ kawaida.
(vii) Maumivu chini ya kiuno na pia chini ya kitovu.
KAMA UNADALILI HIZI TAFADHALI USISITE KUMTAFUTA DR. RUSIGWA KWA MSAADA WA USHAURI, VIPIMO NA MATIBABU. KARIBUNI SANA SURE HERBAL CLINIC.

Post a Comment