Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015
Wakuu,Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yalivyotangazwa.
Fuatilia uzi huu kwa updates zaidi. VIDEO na PICHA zote zitawekwa HAPA
Oktoba 26, 2015 - Saa 4 asubuhi:
Jimbo la Makunduchi:
Magufuli (CCM): 8,406
Lowassa (CHADEMA): 1,769
Jimbo la Paje:
Magufuli (CCM): 6,035
Lowassa (CHADEMA): 1,899
Jimbo la Lulindi:
Magufuli (CCM): 31,603
Lowassa (CHADEMA): 11,543



Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.