KIPIMO RAHISI CHA WAPENDANAO SIKU YA "VALENTINE'S DAY". A+ A- Print Email ni kipimo kidogo sana ila kinauzito mkubwa jaribu kufanya hivi uone je mapenzi yenu yapo sehem gani Ukitaka kujua upendo wa kweli usipokee zawadi ya Valentine day kutoka kwa mpenzi wako,wewe muombe tu mbadilishane line ya simu hapo ndipo utakavyoona penzi lenu lilivyo analogy muda wowote linaweza kuzama. 01 Feb 2016
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.