Maneno matamu katika card huongeza mvuto katika mapenzi

Katika mahusiano baadhi ya wapenzi hupenda kutumiana card,,kiukweli hiki ni ktu kizuri kwa wapenzi kufanya hivyo mara kwa mara kwani huongeza mvuto katika mapenzi walio wengi hupenda kutuma kadi kwa mpenzi aliyembali,,kadi,wakati wa sikukuu mbalimbali lakini ni muhimu kutumiana kadi hata kama sio kipindi cha sikukuu wakati wote utakapojisikia kwani kadi ni moja ya zawadi kwa umpendaye.na wakati wa kununua kadi ni vizuri kuzingatia maneno yaliyoandikwa katika kadi kwani vinginevyo unaweza kufikiri umemfurahisha mwenza wako kwa kumtumia kadi kumbe umemuuzi kutokana na maneno yaliyo katika kadi uliyomtumia.

Maneno matamu katika kadi za mapenzi yana mvuto wake kama i love you more than anything,your my everthing,,i mis you my darling nk. Wengine hupenda kutuma kadi ili kufisha ujumbe fulani kama kuomba msamaha,au kumwambia msichana au  mvulana anampenda kwa kiasi gani kupitia maneno yaliyopo katika kadi hiyo.KUWA MBUNIFU KILA WAKATI KATIKA MAHUSIANO.
 
 
 

Ubunifu katika maeneo mbalimbali huongeza mvuto katika mahusiano

Unaweza kufanya hivi kwa kutumia tunda la tikiti maji na kumpa mpenzi wako

Haya ni baadhi ya maneno matamu ambayo unaweza kuyatumia kwa wakati tofauti kumuambia yule umpendaye



Ubunifu ni kila kitu katika mapenzi
 

Post a Comment

POPULAR POST

 
Top