Watu wengi hulitumia
tunda la papai
kwa sababu ya
utamu wake.
Hata hivyo mbali
na kuwa na
ladha nzuri, tunda la
papai lina faida
lukuki kwa afya
ya mwanadamu.
UTAJIRI WA VITAMINI
Tunda la papai lina vitamini A,B,C,D, na E jambo
linalo liweka tunda
hili katika kundi
la matunda na
vyakula vyenye utajiri
mkubwa wa vitamin.
Mti wa papai |
FAIDA ZA KIAFYA
ZA TUNDA LA
PAPAI
Tunda la papai
lina faida nyingi
sana kwa afya
ya mwanadamu. Miongoni
mwa faida hizo
ni pamoja na
kuwa na uwezo
wa :
1.
Kutibu tatizo
la Shida ya kusaga chakula tumboni
2.
Kutibu Udhaifu wa tumbo
3.
Kutibu Kisukari na asthma au pumu.
4.
Kutibu Kikohozi kitokacho mapafuni
Mizizi Ya Papai |
5.
Kutibu Kifua kikuu
6.
Tunda hili
huleta afya nzuri ukitumia kila siku
7.
Maziwa
yanayotoka katika jani lake huponya vidonda
8.
Vilevile yanasaidia kutibu
sehemu palipoungua moto
9.
Kama hiyo
haitoshi, maziwa yanayotoka katika
jani la mpapai
yanatibu kiungulia na Ugonjwa wa colon (njia ya haja kubwa ndani)
Majani Ya Mpapai |
10.
Pia yanasaidia kutofunga choo
11.
Maganda
ya tunda
la papai yanasaidia
kutibu tatizo la
kuungua, vipele na saratani ya ngozi.
12.
Mbegu
zake zinatibu ini zikitafunwa 10 – 12 kwa siku 5.
13.
Majani
yake yakaushie ndani, yanatibu pumu. Inapoanza kubana yachome majani
yaliyokaushwa kisha jifukize, kule kubanwa kutakisha.
14.
Majani
yake yanasaidia katika kutibu
shinikizo la damu.
15.
Papai
likimenywa na kupondwa linafaa Sana katika
masuala ya urembo
kwani linaweza kutumika Kama vile
unavyotumia lotion kulainisha uso.
16.
Mbegu za
papai zina uwezo
wa kutibu homa. Meza mbegu za
papai kiasi cha kijiko
cha chakula mara 3 kwa ajili ya
kutibu homa.
17.
Mbegu
za
papai zilizokaushwa ndani kisha zikasagwa kuwa unga zinatibu malaria,
tumia kijiko 1 cha chai changanya na uji, kunywa mara 3 kwa siku 5 Mgonjwa wa
kifua kikuu akila matunda haya kwa muda mrefu atapona bila dawa nyingine.
Post a Comment